WAZIRI AWESO AZITAKA MAMLAKA ZA MAJI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAJI KWA WANANCHI

Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso amewataka Wakurugenzi watendaji wa Mamlaka za MajiSafi na Usafi wa Mazingira nchini kushughulikia changamoto za wananchi zinazohusiana na upatikanaji wa huduma bora ya Maji. Ameyasema haya wakati akifunga kikao kazi cha Wakurugenzi Watendaji wa Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini kilichofanyika mkoani Morogoro. Aidha Waziri Aweso ameeleza kuwa Wakurugenzi wa